TUKI ENGLISH-SWAHILI DICTIONARY
KAMUSI YA  KIINGEREZA-KISWAHILI

A | B | C | D | E | F | G | H | I | J | K | L | M | N | O | P | Q | R | S | T | U | V | W | X | Y | Z

 

X,x n 1 herufi ya ishirini na nne ya alfabeti ya Kiingereza. 2 (ishara ya Kirumi) kumi. 3 (algebra) idadi isiyojulikana; (fig) jambo lisilo na uhakika. 4 (of film) (hati ya kuonyesha) watu wazima tu.

Xeno- (pref) geni, -a nje. ~phobia n chuki/hofu ya wageni (wa nchi).

Xerox vt see photocopy.

Xho'sa n (person) Mhosa; Mbantu wa Afrika ya Kusini mwenye nasaba wa Wazulu; (language) Kihosa.

X-mas

X-ray n eksirei ~ examination uchunguzi kwa eksirei. ~ picture n picha ya eksirei vt piga picha ya eksirei.

xylem n tishu ngumu za mtu.

xylography n usanii wa kuchonga vinyago. xylographer n msanii wa kuchonga vinyago.

xylophone n marimba.

X - mas n see Christmas.

A | B | C | D | E | F | G | H | I | J | K | L | M | N | O | P | Q | R | S | T | U | V | W | X | Y | Z

INSTITUTE OF KISWAHILI RESEARCH, UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM, P. O. Box 35110, DAR-ES-SALAAM, TANZANIA.

ęTaasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI) 2000 Second Edition 2000
ISBN 9976 911 29 7
All rights reserved. No part of this dictionary may be reproduced, stored in a retrieval system or transmitted in any form or by any means, electronic, mechanical, photocopying, recording or otherwise, without the prior permission of the Institute of Kiswahili Research.